Marmo Advert Banner

Royal Tughimbe Hotel

investment forum

investment forum

MACHEMBA STORE

MACHEMBA STORE

MBEYA SPRING WATER

MBEYA SPRING WATER

MADARAKA AUTO GARAGE

MADARAKA AUTO GARAGE

Thursday, 29 May 2014

MKURUGENZI MKUU WA NHC AMTEMBELEA BALOZI MDOGO WA TANZANIA, DUBAI OFISINI KWAKE
Mheshimiwa Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Ubalozi wa Tanzania uliopo Dubai, akiwa na mazungumzo na Ndugu Nehemiah Mchechu, Mkurugenzi Mkuu wa NHC , alipomtembelea Ofisini kwake Dubai.


Mazungumzo yao yalihusu maandalizi ya kongamano la uwekezaji katika sekta ya nyumba litakalofanyika Jumeirah Madnat Hotel, Dubai. Kongamano hilo limeandaliwa na Ubalozi Mdogo wa Tanzania uliopo Dubai kwa kushirikiana na Shirika la Taifa la Nyumba (NHC).

Makampuni makubwa ya sekta ya nyumba hapa Dubai pamoja na mengine kutoka Nchi za Muungano wa Ukanda wa Mashariki ya Kati (GCC and the Midle East) yatashiriki. Makumpuni hayo ni pamoja na Nakheel ambalo ndio limejenga The Palm City ya Dubai, Emaar ambalo ndio wamiliki wa Dubai Mall. Mengine yanatoka Qatar, Bahrain, Oman na Saudi Arabia.
 

Ndugu Nehemiah Mchechu (Kushoto) akiwa katika pamoja na Mheshimiwa Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Ubalozi wa Tanzania uliopo Dubai


Monday, 26 May 2014

SHILLING'S NEW TROUBLES TO HURT ECONOMY

The shilling once again performed poorly against the dollar this week making it the seventh in a row. It is an unprecedented stretch of losses in almost three years.
Bank of Tanzania (BoT) exchange rate data shows that the weakening of the local currency is the longest since an eight-week period between June and July 2011.
Its new troubles started on April 1 when BoT indicative rates were Sh1,621 when buying dollars and Sh1,637 for every greenback sold. A year back, the exchange rate was Sh1,582 and Sh1,598 respectively when buying and selling dollars.
Some treasury experts have attributed the latest losses to declining foreign exchange earnings from export trade, which has limited the supply of dollars in the economy. However, money markets have so far remained calm with some foreign exchange traders saying there was no need to panic because the trend is temporary.
“There’s a shortage of dollars in the market because there’s no inflow from agriculture and tourism,” the head of money markets at Commercial Bank of Africa, Mr Hakim Sheikh, told the influential US business publication, Bloomberg. “There’s a big demand for dollars coming from the oil companies and construction sector,” he added.
According to the Friday Bloomberg report, the shilling depreciated by 0.7 per cent in the past five days and it is East Africa’s worst performer this year, falling by 4.4 per cent.
“It retreated 0.1 per cent to Sh1,663 per dollar by 5:14 p.m. (on Friday) in Tanzania’s commercial capital. The currency’s run of weekly losses is the longest since an eight-week period that ended in July 2011.”
This week, BoT said the shilling depreciated against the dollar by 0.5 per cent in March this year. That was after trading at an average rate of Sh1,634.3 per dollar during the month compared with Sh1,625.8 in February. Annually, it depreciated by 2.4 per cent from an average of Sh1,594.4 per greenback in March 2013.
During the same one-year period, the value of exports of goods and services declined by 1.7 per cent to $8,709.5 million. On the other hand, exports went up from $12,909 million in March 2013 to $13,765 million in March 2014.

Source: The Citizens Monday May 26, 2014

Thursday, 22 May 2014

MAONESHO YA SYRIA INTERNATIONAL EXHIBITION YAFUNGULIWA JIJINI MBEYA
Kutoka Kushoto ni: Mkurugenzi wa Kampuni ya Excel (Fetian Abdulal), Balozi wa Syria nchni Tanzania na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya (Mh. Abbas Kandoro)
Kushoto Kushoto ni: Mkuu wa Mkoa wa Mbeya (Mh. Abbas Kandoro), Mwenyekiti TCCIA Mkoa (Dr. Lwitiko Mwakalukwa), Balozi wa Syria nchini na Mkurugenzi wa Kampuni ya Excel (Fetian Abdulal)

Mgeni rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mh. Abbas Kandoro akitembelea mabanda ya Maonesho hayo

Balozi wa Syria nchini Tanzania akizungumza kabla ya ufunguzi wa Maonesho ya Kimataifa ya Wafanyabiashara kutoka Syria. Pembeni yake ni MC. Mwakipesile
Maonesho ya utamaduni na bidhaa za watu wa nchi ya Syria yanaendelea katika ukumbi mkubwa wa Benjamin Mkapa jijini Mbeya
Bidhaa mbalimbali zikiwemo nguo zinapatikana kwenye maonesho ambazo wana Mbeya wanaweza kujinunulia
Hizi ni baadhi tu ya bidhaa za manukato zinazopatikana katika Maonesho hayo
Vidani vya aina mbalimbali kutoka Syria vinapatikana ndani ya Maonesho hayo
Sehemu ya wageni mbalimbali walioalikwa kuhudhuria ufunguzi wa maonesho hayo
Baadhi ya wageni waliohudhuria ufunguzi huo wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi

Suti kali na za rangi zote pia zipo
Kushoto ni maboksi ya pasi zinazouzwa kwenye maonesho hayo ya Syria na kulia ni fagio/dekio maalum lisilotumia umeme lenye uwezo wa kufyonza uchafu aina zote. Banda hili linazo pia machine mbalimbali ya massage na kuondoa vitambi
Perfume mbalimbali zinapatikana katika banda hili


SYRIAN INTERNATIONAL EXHIBITION IN MBEYA CITY (17th MAY - 2nd JUNE 2014)


The Syrian International Exhibition is hosted at the Benjamin Mkapa  Hall in Mbeya City.
On exhibition are a variety of goods from a multitude of Syrian businesses, sold direct to the public at manufacturer prices.
 Entrance is free.
Open daily from 11am to 9pm for the duration of the exhibit.