MAONESHO YA SYRIA INTERNATIONAL EXHIBITION YAFUNGULIWA JIJINI MBEYA
Kutoka Kushoto ni: Mkurugenzi wa Kampuni ya Excel (Fetian Abdulal), Balozi wa Syria nchni Tanzania na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya (Mh. Abbas Kandoro) |
Kushoto Kushoto ni: Mkuu wa Mkoa wa Mbeya (Mh. Abbas Kandoro), Mwenyekiti TCCIA Mkoa (Dr. Lwitiko Mwakalukwa), Balozi wa Syria nchini na Mkurugenzi wa Kampuni ya Excel (Fetian Abdulal) |
Mgeni rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mh. Abbas Kandoro akitembelea mabanda ya Maonesho hayo |
Balozi wa Syria nchini Tanzania akizungumza kabla ya ufunguzi wa Maonesho ya Kimataifa ya Wafanyabiashara kutoka Syria. Pembeni yake ni MC. Mwakipesile |
Maonesho ya utamaduni na bidhaa za watu wa nchi ya Syria yanaendelea katika ukumbi mkubwa wa Benjamin Mkapa jijini Mbeya |
Bidhaa mbalimbali zikiwemo nguo zinapatikana kwenye maonesho ambazo wana Mbeya wanaweza kujinunulia |
Hizi ni baadhi tu ya bidhaa za manukato zinazopatikana katika Maonesho hayo |
Vidani vya aina mbalimbali kutoka Syria vinapatikana ndani ya Maonesho hayo |
Sehemu ya wageni mbalimbali walioalikwa kuhudhuria ufunguzi wa maonesho hayo |
Baadhi ya wageni waliohudhuria ufunguzi huo wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi |
Suti kali na za rangi zote pia zipo |
Perfume mbalimbali zinapatikana katika banda hili |
No comments:
Post a Comment