Marmo Advert Banner

Royal Tughimbe Hotel

investment forum

investment forum

MACHEMBA STORE

MACHEMBA STORE

MBEYA SPRING WATER

MBEYA SPRING WATER

MADARAKA AUTO GARAGE

MADARAKA AUTO GARAGE

Sunday, 23 March 2014





Karibu GR City Hotel



RECEPTION




BAR








RESTAURANT YA KUVUTIA




ENEO LA BAR







VYUMBA VYA KUVUTIA VYENYE ACCESS YA INTERNET





GR HOTEL


GR CITY HOTEL ni hotel ya kisasa na ya kuvutia, hotel ipo Soweto jijini Mbeya (mkabala na kituo cha daladala ziendazo Uyole)
mandhari ya hotel ni tulivu na ya kuvutia, vyumba vya kisasa kabisa, na upande wa restaurant kuna vyakula mbalimbali vinavyoandaliwa kwa ubora wa hali ya juu bila kusahau upande wa bar ambapo kuna vinywaji vya aina zote.
Ukiwa GR CITY HOTEL utapata huduma safi kutoka kwa wahudumu, pia hotel inafikika kwa urahisi sana, huna haja ya kuhofu usalama wako ikiwa utafika usiku.
kwa mawasiliano piga namba-  025 250 0449
                                                0787 500 449
                                               0655 500 449
KARIBU SANA GR CITY HOTEL NA UFURAHIE HUDUMA BORA.

























1 comment:

burton said...

Nilikuwa nafika hapo kipindi nipo mbeya, nilikuwa nafuata popcorns, wana huduma nzuri, waongeze ubunifu, ushindani ni mkubwa