Marmo Advert Banner

Royal Tughimbe Hotel

investment forum

investment forum

MACHEMBA STORE

MACHEMBA STORE

MBEYA SPRING WATER

MBEYA SPRING WATER

MADARAKA AUTO GARAGE

MADARAKA AUTO GARAGE

Thursday, 20 March 2014

WAZIRI KIGODA AKUTANA NA UJUMBE WA WAWEKEZAJI TOKA UJERUMANI WANAOTAKA KUJENGA KIWANDA CHA MBOLEA, TANZANIA

 Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Omar Kigoda akisisitiza jambo wakati wa alipokutana na ujumbe wa wawekezaji toka Ujerumani wanaotaka kujenga Kiwanda cha mbolea hapa nchini
 

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Ujerumani ya Helma Dungemittel, Bw. Oliver Mehl akitoa maelezo juu ya ujio wao na kuelezea mambo watakayoyafanya

Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Omar Kigoda akiongea ofisini kwake jijini Dar es Salaam na ujumbe kutoka kampuni ya Ujerumani ya Helma Dungemittel ambayo ina mpango wa kuwekeza kwenye kiwanda cha kuzalisha mbolea kwa kutumia gesi asilia. Pembeni yake ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Bi. Janet Mbene pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Bw. Oliver Mehl.

No comments: