MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA BIASHARA NA UWEKEZAJI KATI YA ISRAEL NA TANZANIA JIJINI DAR ES SALAAM
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal akifungua Mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kati ya Israel na Tanzania, katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, 17 Machi 2014
Makamu wa Rais wa
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Kampuni ya Balton Tanzania, baada ya kufungua rasmi Mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kati ya Israel na Tanzania,
katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, 17
Machi 2014. Kushoto ni Mtaalam wa Kilimo, Bw. Maximilian Sarakikya na Kulia ni Mkuu wa Maendeleo ya Biashara na Habari, Bi. Linda Byaba.
Baadhi ya Washiriki wa Mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji wakimsikiliza kwa makini Makamu wa Rais, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, wakati alipokuwa akiwahutubia katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, 17
Machi 2014
Makamu wa Rais wa
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal akifungua
Mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kati ya Israel na Tanzania,
katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, 17
Machi 2014. Kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Bi. Juliet Kairuki. Mkutano huu unaendelea hadi tarehe 20 Machi 2014.
1 comment:
Safi
Post a Comment