Marmo Advert Banner

Royal Tughimbe Hotel

investment forum

investment forum

MACHEMBA STORE

MACHEMBA STORE

MBEYA SPRING WATER

MBEYA SPRING WATER

MADARAKA AUTO GARAGE

MADARAKA AUTO GARAGE

Tuesday, 18 March 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA BIASHARA NA UWEKEZAJI KATI YA ISRAEL NA TANZANIA JIJINI DAR ES SALAAM
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal akifungua Mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kati ya Israel na Tanzania, katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, 17 Machi 2014

 Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Kampuni ya Balton Tanzania, baada ya kufungua rasmi Mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kati ya Israel na Tanzania, katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, 17 Machi 2014. Kushoto ni Mtaalam wa Kilimo, Bw. Maximilian Sarakikya na Kulia ni Mkuu wa Maendeleo ya Biashara na Habari, Bi. Linda Byaba.

Baadhi ya Washiriki wa Mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji wakimsikiliza kwa makini Makamu wa Rais, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, wakati alipokuwa akiwahutubia katika  Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, 17 Machi 2014
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal akifungua Mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kati ya Israel na Tanzania, katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, 17 Machi 2014. Kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Bi. Juliet Kairuki. Mkutano huu unaendelea hadi tarehe 20 Machi 2014.

1 comment:

Anonymous said...

Safi