
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Mizinga Melu (wa kwanza kushoto) akibonyeza
kitufe cha kampyuta kama ishara ya kuzindua rasmi bidhaa mpya kwa
wateja wao ya NBC Direct, jijini Dar es Salaam jana. Wengine ni maofisa
wa beni hiyo wa pili kushoto ni, Sarah Laiser-Sumaye, Mary Kapeja,
Andrew Massawe na, Mussa Jallow.

Mkuu
wa huduma rejareja zakKibenki, Mussa Jallow akizungumza na wateja na wageni
waalikwa katika uzinduzi huo akieleza faida mbalimbali
zinazopatikana katika bidhaa ya NBC Direct.

Baadhi ya maofisa wa NBC na wageni wengine waliohudhuria hafla ya uzinduzi huo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Mizinga Melu (kulia)
akisamiliama na baadhi ya wageni waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa NBC
Direct iliyofanyika jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment